Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imetoa elimu juu ya umuhimu wa upimaji wa mionzi katika zao la kahawa kwa wafanyabiashara wa zao hilo kwenye soko la mnada uliofanyika wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro jana tarehe 21/11/2019. Mnada huo umewashirikisha...
