Month: May 2020

TAEC yasisitiza Uombaji Vibali wa Njia ya Mtandao

TAEC yasisitiza Uombaji Vibali wa Njia ya Mtandao

Wadau na wafanyabiashara nchini wamesisitizwa kupata vibali vya vipimo vya mionzi vinavyotolewa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa njia ya mfumo wa kieletroni kila mara wanapoingiza na kusafirisha bidhaa ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa...

soma zaidi
Kozi ya Upimaji wa Vyanzo vya Mionzi Kwenye Maabara za Tume

Kozi ya Upimaji wa Vyanzo vya Mionzi Kwenye Maabara za Tume

Jumla ya wataalamu nane (8) kutoka mataifa saba (7) ya  nchi za ukanda wa Afrika wamehitimu mafunzo juu ya matumizi sahihi  ya maabara zinazotumia teknolojia ya nyuklia katika udhibiti na uhamasishaji wa matumzi salama wa teknolojia ya nyuklia. Mafunzo haya...

soma zaidi

Hifadhi za nyaraka