Tume ya  Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inaendesha mafunzo ya kitaifa juu ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia mahala pa  kazi kwa wafanyakazi 45 wanaotumia vyanzo vya mionzi katika sekta za Viwanda, Utafiti na Migodi. Mafunzo hayo yameanza jumatatu...

soma zaidi