Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) na Jeshi la Polisi leo Juni 10, 2022 wamesaini  muendelezo wa mkataba wa makubaliano ya  ushirikiano wa ulinzi na usalama wa vyanzo vya mionzi hapa nchini. Makubaliano hayo  yanalenga kuhakikisha kuwa Jeshi la Polisi  linatoa...

soma zaidi