Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Daniel Mushi leo Septemba 10, 2024 afungua rasmi kozi ya Kikanda ya mafunzo kuhusu Uchambuzi wa Mahitaji ya Nishati kulingana na utumiaji wa Muundo wa Uchambuzi wa Mahitaji ya Nishati wa IAEA...
Adam Nakembetwa
Semina ya Kitaifa ya Siku Moja kwa Waandishi wa Habari 50 ili Kutoa Uelewa wa Matumizi Salama ya Mionzi Nchini
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) leo Agosti 22, 2024 katika Makao Makuu ya TAEC Kikombo Dodoma, imefanya semina ya siku moja kwa Waandishi wa Habari wa Jiji la Dodoma ili kutoa elimu juu ya majukumu yanayotekelezwa kisheria na TAEC ndani ya Jamhuri ya Muungano...
TAEC kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yafungua Rasmi Dirisha la Maombi ya Nafasi za Ufadhili wa Samia Extended
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua rasmi dirisha kwa waombaji wenye sifa za kuomba nafasi za kusomea Shahada ya Juu ya Teknolojia ya Sayansi ya Nyuklia kupitia ufadhili wa Samia Scholarship Extended (SSE)...
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa TAEC
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), Prof. Najat Kassim Mohammed ofisi za wizara jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yamefanyika kwa mara ya kwanza tangu Rais...
Ufadhili wa Samia (Samia Scholarship); Shahada za Uzamili (Msc) Katika Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia: 2024/2025
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatekeleza mpango wa kukuza fani za Sayansi, Teknolojia, Ubunifu, Uhandisi, Hisabati na Tiba kupitia programu ya Ufadhili wa Samia (Samia Scholarship Extended Program). Wizara kupitia Tume ya Nguvu za ...
Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TAEC Ameripoti Rasmi Kazini
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania Prof. NAJAT KASSIM MOHAMMED ameripoti rasmi ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Jijini Dodoma leo Prof. Najat amepokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya...
Ufadhili wa masomo kupitia Mh. Mama Samia kwa wanafunzi wa ndani kufanya masomo ya teknolojia ya nyuklia nje ya nchi
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda amezindua mpango maalum wa Kitaifa wa ufadhili wa masomo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wa ndani kufanya masomo ya teknolojia ya nyuklia nje ya nchi. Ufadhili huo uliozinduliwa ni kuongeza wigo wa ufadhiri wa...
Upimaji wa Mionzi Katika Mazingira Katika Mikoa ya Kusini mwa Tanzania
NOTIFICATION TO ALL STAKEHOLDERS AND GENERAL PUBLIC
Notification to all Stakeholders and General Public on Amendment of the Atomic Energy Act CAP 188 and Publication of Tanzania Atomic Energy Commission - TAEC Three (3) New Regulations Made under The Atomic Energy Act CAP 188
CALL FOR PAPER: International Conference on nuclear security, shaping the future
CALL FOR PAPER: International Conference on nuclear security, shaping the future