Jumla
VITUO VILIVYOFUNGIWA KUTOA HUDUMA KUANZIA 31 MEI 2020
Majina ya vituo ambavyo vimefungiwa kutoa huduma kuanzia 31 Mei 2020
VITUO VINAVYORUHUSIWA KUTOA HUDUMA- 31 MAY 2020
Majina ya vituo ambavyo vimepatiwa leseni ya kufanya kazi, 31 Mai 2020
Kozi ya upimaji wa vyanzo vya mionzi kwenye Maabara za Tume, Arusha, Tanzania, 24 Feb -15 May 2020
Kozi ya upimaji wa vyanzo vya mionzi kwenye Maabara za Tume, Arusha, Tanzania Fungua Maelezo Zaidi
MAFUNZO YA KITAIFA YA UDHIBITI NA USALAMA WA MIONZI KATIKA IDARA ZA RADIOLOJIA NCHINI
Arusha, 20 Desemba, 2019Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) leo imefunga rasmi mafunzo ya kitaifa ya siku (5) juu ya udhibiti na usalama wa mionzi katika idara za radiolojia kwa wanaradiolojia 104 (Radiographers) ambao hutumia mionzi kwa ajili ya uchunguzi na...