Makao Makuu ya TAEC Kuhamia Dodoma
TAARIFA KWA UUMA: Makao Makuu ya TAEC Kuhamia Dodoma
66TH IAEA General Conference
The delegation of the United Republic of Tanzania (URT) participated in the 66th General Conference of the IAEA which took place at the Vienna International Centre, Vienna, Austria from 26th to 30th September 2022.

Mkutano Wa Kujadili Huduma Ya Matumizi Salama Ya Vyanzo Vya Mionzi Sehemu Za Kazi “ORPAS”
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomu Duniani inafanya kikao cha siku tano ili kujadiliana, kupeana ushauri na kufanya tathmini katika kufata miongozo ya huduma ya matumizi salama ya vyanzo vya mionzi sehemu za kazi...

TAEC na Jeshi la Polisi Wamesaini Muendelezo wa Makubaliano ya Kuendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama wa Vyanzo vya Mionzi Nchini
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) na Jeshi la Polisi leo Juni 10, 2022 wamesaini muendelezo wa mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na usalama wa vyanzo vya mionzi hapa nchini. Makubaliano hayo yanalenga kuhakikisha kuwa Jeshi la Polisi linatoa...

Kamati ya Bunge yaipongeza TAEC Kwa Hatua iliyofikia katika utekelezaji wa Ujenzi wa Maabara Changamana Awamu ya Pili
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii jana Machi 15, 2022 ilifanya ziara Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ili kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Maabara changamana awamu ya pili. Katika ziara hiyo Kamati ya bunge...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu shehena inayosemekana kuwa na viasili vya mionzi (Radioactive Materials) iliyokusudiwa kuingizwa nchini kupitia bandari ya Mombasa

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga aweka Jiwe lamsingi, Ujenzi wa Maabara na Ofisi ya Kanda ya TAEC, Mwanza
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga (Mb) ameipongeza Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kwa Maendeleo Mazuri ya mradi wa Ujenzi wa Ofisi na Maabara ya kanda inayoendelea kujengwa Jijini Mwanza. Mhe. Naibu Waziri ameyasema hayo...

Mtanzania ashinda Tuzo ya Utafiti wa Kilimo cha Mpunga kwa Kutumia Teknolojia ya Nyuklia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Leonard Akwilapo, amepokea Tuzo ya “Plant Mutation Breeding” iliyotolewa kwa mtafiti wa Tanzania, Bwana Salum Faki Hamad, wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar (ZARI). Bwana Salum amepewa tuzo hiyo kama...

Mafunzo ya Kitaifa ya Usalama wa Mionzi kwa Wataalam Wanaotumia Vyanzo vya Mionzi kwenye Ukaguzi wa Mizigo na Tiba, 20-24 Septemba 2021, Arusha
Wataalam wanaotumia vyanzo vya mionzi kwa ajili ya ukaguzi wa mizigo bandalini, utafiti na matibabu ya magojwa mbalimbali wanashiriki katika mafunzo ya Kitaifa ya Usalama wa Mionzi yanayoendeshwa na Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) jijini Arusha. Mafunzo haya...

Maabara Changamana Awamu ya Pili mbioni kumalizika
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania iko mbioni kukamilisha ujenzi wa maabara changamano awamu ya pili. Ujenzi huu wa maabara ya gorofa nne ulianza mwezi Septemba 2019 na kwa sasa maendeleo ya ujenzi ni mazuri ambapo mpaka sasa hatua ya ujenzi umekamilika kwa asilimia 87....