
Kikao na Wadau Kupitia na Kupata Mapendekezo Juu ya Maboresho ya Sheria ya Nguvu za Atomu Tanzania na Kanuni Zake
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanya kikao na wadau ili kupitia na kupata mapendekezo juu ya maboresho ya Sheria ya Nguvu za Atomu Namba 7 ya Mwaka 2003 (Atomic Energy Act No. 7, 2003) pamoja na kanuni zake, kikao hiki kimefanyika tarehe 30 April 2021 Kikao...

Wafanyakazi wa TAEC Wanolewa Vita Dhidi ya Rushwa Sehemu za Kazi
Wafanyakazi wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) wameshiriki semina ya siku moja ya utawala bora na mbinu za kupambana na rushwa mahala pa kazi, Jumanne, 16 Februari 2021. Semina hiyo imeendeshwa na Tasasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) ofisi ya...

Kozi ya Kitaifa kwa Wafanyakazi Wanaotumia Mionzi Kukagua Mizigo Katika Maeneo Mbalimbali
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) inaendesha mafunzo ya kitaifa kwa wafanyakazi wanaofanya kazi ya kukagua mizigo na bidhaa mbali mbali za wageni wa ndani na nje katika kuzingatia usalama wa mionzi kwenye maeneo yao ya kazi ili kujilinda na kuwalinda...

Wataalam 80 Wanaotoa Huduma Katika Vyanzo vya Mionzi Nchini Wapata Mafunzo ya Usalama wa Mionzi Katika Maeneo ya Kazi
Jumla ya wataalam 80 wanaotoa huduma katika vyanzo vya mionzi kwa ajili ya uchunguzi na tiba kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini wanashiriki katika mafunzo ya Kitaifa ya Usalama wa Mionzi yanayoendeshwa na Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) jijini Arusha....

Baadhi ya mafanikio ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia ndani ya nchi
Kwa miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za atomiki Dunia (IAEA) imeweza kutekeleza miradi mbalimbali ya sayansi na tekinolojia ya nyuklia na kuleta mafanikio mbalimbali ndani ya nchi ikiwemo, afya,...
Wananchi wamepatiwa elimu ya matumizi salama ya mionzi kwenye maonesho ya nanenane mwaka 2020
Zaidi ya wananchi 1000 wamepata elimu ya majukumu ya kisheria Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) na namna ya matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia inavyotumika nchini kwenye maonesho ya kitaifa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya NaneNane yaliyofanyika...

TAEC yashiriki maonesho ya Nane Nane mwaka 2020
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inashiriki kwenye maonesho ya Wakulima maarufu kama NANE NANE yanayofanyika kitaifa mkoa wa Simiyu katika viwanja vya Nyakabindi na katika mkoa wa Arusha kweye viwanja vya Taso. Ufunguzi wa maonesho hayo...
Maabara ya Kitaifa ya Uhakiki wa Vifaa vya Mionzi
TAEC maintains a dedicated National Calibration facility for calibrating all types of portable radiation monitoring instruments across a wide range of radiation types and levels. Instrument calibrations are performed using reference ionization Chamber and radiation...

Ushiriki wa TAEC Katika Maonesho ya 44 Ya Kimataifa ya Biashara
Kwa mara nyingine Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania imeshiriki kikamilifu maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara na kutoa elimu juu ya majukumu ya udhibiti wa mionzi na uhamasishaji wa matumizi salama ya teknolojia ya nyuklia nchini. Maonyesho haya ya siku kumi na...

Wafanyabiashara Wadogo wa Bagamoyo Wapewa Mafunzo ya Utambuzi wa Vifaa vya Mionzi
WAFANYABIASHARA wadogo wa bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamepata elimu ya utambuzi wa bidhaa na vifaa vyenye mionzi ikiwa ni hatua za kuwaelimisha ili watambue madhara ya mionzi na wajue jinsi ya kujikinga. Hayo yamesemwa na...