Kikao na Wadau Kupitia na Kupata Mapendekezo Juu ya Maboresho ya Sheria ya Nguvu za Atomu Tanzania na Kanuni Zake

May 1, 2021

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanya kikao na wadau ili kupitia na kupata mapendekezo juu ya maboresho ya Sheria ya Nguvu za Atomu Namba 7 ya Mwaka 2003 (Atomic Energy Act No. 7, 2003) pamoja na kanuni zake, kikao hiki kimefanyika tarehe 30 April 2021

Kikao hicho kilichoendeshwa na Mkurugenzi Mkuu wa TAEC Prof. Lazaro S.P. Busagala kimeudhuriwa na jumla ya wadau 33 kutoka taasisi mbalimbali za Serikali na mashirika binafsi.

Wakati akifungua kikao, Profesa Busagala amewaambia  wadau kwamba kuna ukuaji mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya nyuklia hapa nchini na ulimwenguni kote , kwahivyo kuna haja kubwa ya kuboresha Sheria na Kanuni za TAEC ili kuendelea kuzuia matumizi mabaya ya teknolojia ya nyuklia ili kudhibiti athari mbaya za mionzi katika kuwalinda wafanyakazi, wananchi, wagonjwa na mazingira

Katika hotuba yake ya ufunguzi, Prof.Busagala aliwaambia wadau kwamba kuna ukuaji mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya nyuklia nchini na haswa ulimwenguni, kwa hivyo kuna haja kubwa ya kuboresha Sheria na Kanuni za TAEC ili kuendelea kuzuia matumizi mabaya ya nyuklia teknolojia ili kudhibiti athari mbaya za mionzi kwa ulinzi wa wafanyikazi, raia, wagonjwa na mazingira

 Profesa Busagaa alieleza kuwa maboresho ya Sheria  yatajumuisha kanuni za  mionzi isiyoayonaizi (Non-ionizing Radiation) ambayo itaweza kusaidia katika kusimamia na kudhibiti  utumiaji salama wa vyanzo vya mionzi visivyoayonaizi katika maeneo yote yenye vyanzo hivyo.

 Profesa Busagala alielezea kuwa maboresho ya Sheria na kanuni yatajumuisha kanuni za Mionzi isiyoayonaizi hazitaonyesha ambayo itaweza kusaidia katika kudhibiti na kudhibiti utumiaji salama wa mionzi na vifaa visivyo na mwangaza nchini.

Hifadhi za nyaraka