Kitengo cha Manunuzi
Kuhusu Kitengo
Kazi ya Kitengo hiki ni kumshauri Mkurugenzi Mkuu juu ya maswala yanayohusu manunuzi wa bidhaa na huduma kulingana na Sheria ya manunuzi ya Umma na kanuni zake
a. Kusimamia manunuzi yote ya Tume isipokuwa uidhinishaji wa mikataba.
b. Kuratibu shughuli za kitendaji za Bodi ya zabuni;
c. Utekelezaji wa maamuzi ya Bodi ya zabuni;
d. Kusimama kama Sekretarieti ya Bodi ya zabuni;
e. Kuandaa mpango wa manunuzi wa Tume;
f. Kupendekeza utaratibu wa ununuzi wa mahitaji ya Tume
g. Kuandaa nyaraka za mikataba ya manunuzi
h. Kuandaa na kutangaza fursa za zabuni za Tume
i. Kutunza nyaraka na kumbukumbu zote za manunuzi ya Tume
j. Kuandaa taarifa za manunuzi za kila mwezi kwenda Bodi ya zabuni
k. Kuandaa taarifa za robo mwaka za utekelezaji wa mpango wa manunuzi ya Tume
l. Kutunzanakuwekakumbukumbuzamchakatowaununuzinautupaji;
m. Kuandaa ripoti zingine kwa kadiri zitakavyohitajika
NYARAKA
3. Public Procurement Regulations 2016
Habari na matukio ya Kitengo
Hakuna Matokeo Iliyopatikana
Ukurasa uliouomba haukuweza kupatikana. Jaribu kusafisha utafutaji wako, au tumia urambazaji hapo juu ili kupata chapisho.