Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania iko mbioni kukamilisha ujenzi wa maabara changamano awamu ya pili.
Ujenzi huu wa maabara ya gorofa nne ulianza mwezi Septemba 2019 na kwa sasa maendeleo ya ujenzi ni mazuri ambapo mpaka sasa hatua ya ujenzi umekamilika kwa asilimia 87.
Ujenzi huu wa kisasa wa maabara changamana utawezesha Tanzania kutoa huduma nchini pamoja na nchi za Afrika Mashariki na Kati. Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni 10.4 zinatolewa na Selikali kukamilisha mradi