Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania Prof. NAJAT KASSIM MOHAMMED ameripoti rasmi ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Jijini Dodoma leo
Prof. Najat amepokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Teknolojia ya Nyuklia na huduma za ufundi Dkt. Remigius Kawala, Mkurugenzi wa Huduma za Tume Bwn. Edgar Mbaganile, Menejimenti na wafanyakazi wa Tume