Mkutano wa Kimataifa Unaohusisha Waratibu wa Miradi ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia Kutoka Nchi za Kanda ya AFRIKA

Mar 11, 2019

PICHA: Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa Unaohusisha Waratibu wa Miradi ya Sayansi na Teknolojia ya Nyuklia Kutoka Nchi za Kanda ya AFRIKA

Mkurugenzi wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania, Profesa Lazaro Busagala akitoa neno la ukaribisho kwa wajumbe wa mkutano wa kimataifa wa waratibu wa miradi ya sayansi na Teknolojia ya Nyuklia kutoka nchi wanachama 49 wa Shirika la Nguvu za Atomiki la kimataifaIAEA)

Naibu waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mh William Ole Nasha (Kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Shirika la nguvu za Atomiki duniani Profesa Shaukat Abdulrazak kwenye mkutano wa kimataifa unahusisha nchi 49 za kanda ya AFRIKA.

Naibu waziri Elimu,Sayansi na Teknolojia Mh William Ole Nasha wakati akifungua mkutano wa kimataifa unaohusisha waratibu wa miradi ya sayansi na teknolojia ya Nyuklia kutoka nchi za kanda ya AFRIKA

Picha ikimuonyesha Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mh William Ole Nasha akiwanna washiriki wa mkutano wa kimataifa wa waratibu wa miradi ya sayansi na teknolojia ya nyuklia kutoka katika nchi wanachama 49 wa Shirika la Nguvu za Atomiki dunian

Hifadhi za nyaraka