
LIQUID NITROGEN IS AVAILABLE NOW!
YANAYOJIRI NDANI YA TUME
Makao Makuu ya TAEC Kuhamia Dodoma
TAARIFA KWA UUMA: Makao Makuu ya TAEC Kuhamia Dodoma
66TH IAEA General Conference
The delegation of the United Republic of Tanzania (URT) participated in the 66th General Conference of the IAEA which took place at the Vienna International Centre, Vienna, Austria from 26th to 30th September 2022.

Mkutano Wa Kujadili Huduma Ya Matumizi Salama Ya Vyanzo Vya Mionzi Sehemu Za Kazi “ORPAS”
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomu Duniani inafanya kikao cha siku tano ili kujadiliana, kupeana ushauri na kufanya tathmini katika kufata miongozo ya huduma ya matumizi salama ya vyanzo vya mionzi sehemu za kazi...

TAEC na Jeshi la Polisi Wamesaini Muendelezo wa Makubaliano ya Kuendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama wa Vyanzo vya Mionzi Nchini
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) na Jeshi la Polisi leo Juni 10, 2022 wamesaini muendelezo wa mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na usalama wa vyanzo vya mionzi hapa nchini. Makubaliano hayo yanalenga kuhakikisha kuwa Jeshi la Polisi linatoa...

Kamati ya Bunge yaipongeza TAEC Kwa Hatua iliyofikia katika utekelezaji wa Ujenzi wa Maabara Changamana Awamu ya Pili
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii jana Machi 15, 2022 ilifanya ziara Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ili kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Maabara changamana awamu ya pili. Katika ziara hiyo Kamati ya bunge...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu shehena inayosemekana kuwa na viasili vya mionzi (Radioactive Materials) iliyokusudiwa kuingizwa nchini kupitia bandari ya Mombasa