Tangazo la Mradi

Dec 4, 2020

Development of Radiometric Methods and Modelling For Measurement of Sediment Transport in Coastal Systems and Rivers (IAEA Coordinated Research Project) Code No. F22074

 Maelezo

Malengo ya Mradi huu (CRP) ni kuendeleza matumizi ya vyanzo vya  mionzi ya asili katika kufuatilia usafirishaji wa mchanga katika maeneo ya pwani na kingo za mito pamoja na matumizi ya mbinu zinazohusiana kwenye mada zifuatazo: Maendeleo ya teknolojia mpya na mbinu za kudhibiti usafirishaji wa mchanga wa pwani (sediment)  kwa kutumia teknolojia ya mionzi asili.

Ukuzaji wa ufuatiliaji mchanga mweusi utakaotumika kama tracer ili kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utoaji wa leseni ikiwa utumiaji wa tracer bandia ya mionzi itatumika, upatikanaji duni wa tracers kama hizo, kwa sababu ya ukosefu wa mitambo ya utafiti katika nchi nyingi, na pia shida za usafirishaji.

Malengo

Malengo ya Mradi huu (CRP) ni kuendeleza matumizi ya vyanzo vya mionzi ya asili katika kufuatilia usafirishaji wa mchanga katika maeneo ya pwani na kingo za mito.

Kwa maelezo zaidi tembelea:   https://www.iaea.org/projects/crp/f22074