Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania

"Mionzi kwa Matumizi Salama na Teknolojia ya Nyuklia kwa Maendeleo ya Taifa"
Nyumbani / Kurasa / Huduma za Ushauri na Utaalamu

Huduma za Ushauri na Utaalamu

Huduma za Ushauri na Utaalamu

Published on August 27, 2025

(a)    Ushauri wa kitaalamu kuhusu usalama wa nyuklia, ulinzi wa mionzi na maeneo mengine yanayohusiana

(b)    Msaada wa kiufundi kwa taasisi zinazotumia mionzi au vifaa vya nyuklia