Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania

"Mionzi kwa Matumizi Salama na Teknolojia ya Nyuklia kwa Maendeleo ya Taifa"
TAEC YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 70 WA IAEA NCHINI AUSTRIA

Kuhusu Sisi

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa mwaka 2003 kwa mujibu wa Sheria ya Nguvu za Atomu, Sura ya 188. Majukumu ya TAEC ni kudhibiti, kuendeleza na kuhakikisha matumizi salama na ya amani ya nishati ya atomu na teknolojia ya nyuklia nchini Tanzania.

TAEC inawajibika kudhibiti vyanzo vya mionzi, kusimamia usalama wa nyuklia na mionzi, kutoa huduma za kitaalamu, pamoja na kuendeleza tafiti na maendeleo katika sayansi na teknolojia ya nyuklia. Tume inalenga kulinda watu, mali, na mazingira dhidi ya madhara ya mionzi ionizishi na isiyoionishi, huku ikihamasisha matumizi chanya ya teknolojia ya nyuklia katika sekta za afya, kilimo, viwanda na elimu.

Kwa kuzingatia viwango vya kimataifa vya  afya na malengo ya maendeleo ya taifa, TAEC inaendelea kuhimiza ubunifu na kuhakikisha matumizi sahihi na salama ya sayansi ya nyuklia kwa maendeleo endelevu ya Tanzania.

Mkurugenzi Mkuu
Prof. Najat K. Mohammed
Mkurugenzi Mkuu

Nyaraka Muhimu

TAEC TRAINING CALENDAR JULY 2026 TO JUNE 2027.pdf
Published : Aug 03, 2026
Pakua
CALL-FOR-PAPERS_Conference-Nuclear-Security.pdf
Published : Jul 14, 2023
Pakua
International-Symposium-on-Food-Safety-and-Control-.pdf
Published : Jul 14, 2023
Pakua
Angalia yote
ORODHA YA MASHINE ZA POS ZILIZOKUSANYWA OFISI YA TAEC KANDA YA MASHARIKI.docx
Published : Jan 22, 2025
Pakua
Angalia yote
THE WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENTS) (NO. 2) ACT, 2023 .pdf
Published : Jun 05, 2025
Pakua
GN 840 -THE ATOMIC ENERGY (PROTECTION FROM IONIZING AND NON-IONIZING RADIATION) REGULATIONS, 2023.pdf
Published : Jun 05, 2025
Pakua
GN NO. 33 THE ATOMIC ENERGY (PROTECTION FROM IONIZING AND NON-IONIZING) REGULATION, 2025.pdf
Published : Jun 05, 2025
Pakua
Angalia yote

Recent News

28 Sep
TAEC YAIMARISHA USALAMA WA MIONZI MIPAKANI KUPITIA MAFUNZO MAALUM YA VIFAA

TUME ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeendelea kuimarisha usalama wa mionzi na nyuklia katika mipaka ya nchi kwa kuwa ...

Read More
Card image
28 Sep
TAEC YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 70 WA IAEA NCHINI AUSTRIA

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeshiriki katika Mkutano Mkuu wa 70 wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomik ...

Read More
Card image
03 Jul
TAEC yashiriki Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Dodoma

Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeanza rasmi kushiriki maonesho ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanay ...

Read More
Card image
03 Jul
PROFESA NAJAT KASSIM MOHAMMED AJUMUIKA KATIKA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA SARATANI ZANZIBAR

 Profesa Najat Kassim Mohammed, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), leo Juni 20, 2026 alijumuika ...

Read More
Card image
New
TRAINING CALENDAR FOR THE FINANCIAL YEAR 2026-2027
August 03, 2026

TRAINING CALENDAR FOR THE FINANCIAL YEAR 2026-2027

Tafadhali gusa HAPA kufungua kalenda ya Mafunzo.

Read More
New
Nafasi za kazi za kujitolea-Pemba
July 10, 2026

Nafasi za kazi za kujitolea-Pemba

NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA -TUME YA NGUVU ZA ATOMU TANZANIA Bonyeza HAPA  

Read More
New
National Training Courses on Radiation Protection and Safety for the financial year 2025/2026
July 23, 2025

National Training Courses on Radiation Protection and Safety for the financial year 2025/2026

One of the legal mandates of TAEC is to provide training in the field of peaceful uses of atomic energy, nuclear technol ...

Read More

Zonal Offices

  • Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (HQ)

slot gacor