Fedha na Mipango
Kuhushu Shekisheni ya Fedha na Mipango
Sekisheni ya Fedha na Mipango inatoa huduma za usimamizi wa kifedha, kuaanda mpango mkakati, mpango kazi, uandaaji wa bajeti pamoja na kusimamia, kufuatilia utekelezaji wa mipango ya Tume.
Aidha, Sekisheni ya Mipango na Fedha inatekeleza yafuatayo;
- Kusimamia bajeti na kufanya makisio ya mapato na matumizi
- Kusimimamia na kutekeleza mipango,sera, kanuni na taratibu za ndani
- Kujibu hoja za ukaguzi toka kwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Mkaguzi wa ndani juu ya usimamizi na ufungaji wa hesabu za Serikali.
- Kuandaa hesabu za mwaka kwa kuzingatia kanuni, taratibu na viwango vya kimataifa vya ufungaji hesabu kwenye Mashirika ya Umma
- Kusimamia na kutekeleza sera, kanuni za mifumo ya kihasibu
- Kusimamia zoezi la ufungaji hesabu za mwaka
- Kuaandaa taarifa za utekelezaji za robo mwaka na mishahara ya kila mwezi
News and Event for Unit
Hakuna Matokeo Iliyopatikana
Ukurasa uliouomba haukuweza kupatikana. Jaribu kusafisha utafutaji wako, au tumia urambazaji hapo juu ili kupata chapisho.