Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Profesa Lazaro Busagala akutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Zanzibar Seif Ali Iddi kwenye ofisi yake iliyopo Vuga mjini Unguja siku ya jumatatu tarehe 19/11/2018 alipofika kujitambulisha rasmi....

Mkurugenzi Mkuu TAEC amefanya mazungumzo na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar
soma zaidi