Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imefanya kikao na wadau ili kupitia na kupata mapendekezo juu ya maboresho ya Sheria ya Nguvu za Atomiki Namba 7 ya Mwaka 2003 (Atomic Energy Act No. 7, 2003) pamoja na kanuni zake, kikao hiki kimefanyika tarehe 30 April 2021...

soma zaidi