Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC )Prof. Lazaro Busagala aliyekaa katikati katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara wa kanda ya Ziwa mara tu baada ya kuwasilisha mada katika mkutano uliofanyika kati ya Tume ya Atomiki Tanzania(TAEC )na...
