Wafanyabiashara Wadogo wa Bagamoyo Wapewa Mafunzo ya Utambuzi wa Vifaa vya Mionzi
WAFANYABIASHARA wadogo wa bandari ya Bagamoyo mkoani Pwani, wamepata elimu ya utambuzi wa bidhaa na vifaa vyenye mionzi ikiwa ni hatua za kuwaelimisha ili watambue madhara ya mionzi na wajue jinsi ya kujikinga. Hayo yamesemwa na...
TAEC yasisitiza Uombaji Vibali wa Njia ya Mtandao
Wadau na wafanyabiashara nchini wamesisitizwa kupata vibali vya vipimo vya mionzi vinavyotolewa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa njia ya mfumo wa kieletroni kila mara wanapoingiza na kusafirisha bidhaa ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa...
Kozi ya Upimaji wa Vyanzo vya Mionzi Kwenye Maabara za Tume
Jumla ya wataalamu nane (8) kutoka mataifa saba (7) ya nchi za ukanda wa Afrika wamehitimu mafunzo juu ya matumizi sahihi ya maabara zinazotumia teknolojia ya nyuklia katika udhibiti na uhamasishaji wa matumzi salama wa teknolojia ya nyuklia. Mafunzo haya...
Mwisho wa kutoa vibali vya mionzi (RAC) kwa njia ya kawaida na kuanza kutumia mfumo wa kielectroniki (On-line Application System)
TAEC na Jeshi la Polisi Wamesaini Makubaliano Yenye Lengo la Kuimarisha Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Vyanzo vya Mionzi Nchini
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) na jeshi la Polisi wamesaini makubaliano ya kuongeza ushirikiano wa ulinzi na usalama wa vyanzo vya mionzi pamoja na mambo mengine mbalimbali ikiwemo kuweka ulinzi wakati wa usafirishaji wa vyanzo vya mionzi pamoja na...
Mafunzo ya Usimamizi wa Usalama wa Mionzi kwenye Vifaa Vitunavyotumia Mionzi
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) inaendesha mafunzo ya siku tano juu ya usimamizi wa usalama wa mionzi kwa wafanyakazi wanaotumia vifaa vitumiavyo mionzi migodini, viwandani na kwa watengenezaji wa vifaa vya mionzi vya hospitalini. Mafunzo haya yaliyoanza...
Call for Submission of Project Concept Notes (CPNs)
Tanzania Atomic Energy Commission would like to announce a call for the submission of country program notes (CPN)/ Concept Notes for the Project cycle 2022-23. The CPNs should be developed based on the Country Programme Frameworks (CPFs) (attached), and should take...
TAEC yatoa mafunzo kwa wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imetoa mafunzo ya msingi ya siku mbili ya matumizi salama ya vyanzo vya mionzi kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara kwa lengo la kuongeza uelewa juu ya vyanzo vya mionzi na usalama wake kwa...
Wito kwa makampuni, Taasisi na watafiti kutembelea Tume kujifunza juu ya mionzi isiyoayonissha
Taasisi, Watafiti na makampuni mbali mbali hapa nchini yanayohusika na vyanzo vya mionzi isiyo ayonisha (Non Inonizing Radiation) kama vile makampuni ya simu (Base Tranasceiver stations),watumiaji wa vifaa tiba (MRI & Utra sound) wametakiwa kutembelea Makao Makuu...
Dkt. Leonard Akwilapo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Amefanya Ziara, Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania
Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo leo tarehe 30 Novemba, 2019 amefanya ziara Makao Makuu ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania Jijini Arusha. Dkt. Akwilapo alipata ripoti ya Mkurugenzi Mkuu Profesa Lazaro Busagala iliyoahinisha...